Asante sana ndugu Navaaya Ole Ndaskoi kwa uchambuzi wako wa kina juu ya barabara ya Mto wa mbu - loliondo - musoma na haki za rasilimali za nchi yetu, kwa kweli inashangaza kuona hata watanzania wenzetu labda kwa kudanganywa au kwa kwasababu wamekuwa wakifanya tafiti zinazo wafaididsha wao ili nao waitwe "world scientist"kama SW wanavyo waita au kwa malengo gani! Katika hao watano ambao ni waafrika atleast nawafahamu wanne, Dr Jambia wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kitengo cha Jiografia ni mwalinu wangu na ambaye kwa miaka yote mitatu niliyokaa chuo nilimuona kama busy person and sometimes haingii darasani labda kwasababu ya issue nyingi alizo nazo but akingia darasani he used to be a nice teacher. sinatatizo na kazi yake ila napata pia mshutoko mwalimu wangu wa environmental education anapoargue na kushirikiana na wenzake kama "world scientist" katika journal iliyochapishwa wanapobase kwa upande wa wanyama tu na kusahau kuwa kabala ya serengeti kuitwa hivyo ilikuwa inaitwa sirinket na walio sema hivyo ni binadamu hivyo serengeti na uzuri wake usingekuwepo kama waliotutangulia yaani jamii zilizoishi pale kabla ya Prof wa Ujerumani Gtzimek or kabla ya 1958 waliishi na kutegemeana na viumbe vilivyopo.
Kuhusu barabara ya mto wa mbu - ngaresero - loliondo - musoma ni haki ya watanzania kupata huduma za barabara kwani tangu 1958 jamii zilizo toa serengeti (Waikoma, Kurya, wamasai etc)wanastaili nao kuingia katika muungano wa jamhuri ya tanzania, kama kweli Tanzania ni nchi huru basi either itumie ubabe kama nchi (nyerere alipotangaza vita vya Uganada alisema ........uwezo tunao, sababu tunazo za kuweza kupiga Idi Amini) basi kama Kikwete na serikali yake inaweza na sababu inayo ya kujenga barabara basi wasitishike na wimbi la walanguzi wanaotoka/ wanoandika kwa niaba ya amerika, uingerza na popote pale duniani juu ya barabara hiyo.
Sababu zinazo tolewa juu ya kwanini barabara isijengwe zote zinahusu wanayama. Je kwanini hawa walanguzi wasitoe pia sababu za kibinadamu? Wanafikiri wanawapenda wanyama zaidi yetu amabo tumekuwa tukiishie nao miaka na miaka?
Wanasayansi wametoa sababu kwani wasingewauliza wananchi wa loliondo, Ikoma, Mara/Musoma kama wanataka Barabara?
Nafikiri Tanzania ni nchi huru, basi kama ni huru na imeona tusitimize miaka 50 ya uhuru bila wananchi tuliowanyanyasa (serikali ikishirikiana na deep ecologist i.e frunkfurt zoological society etc) bila kuwa na mawasiliano na wengine then itumie katiba na mamlaka kama nchi kujenga barabara hiyo.
Wasiwasi wangu ni kuwa serikali yetu inaweza kurudisha kucha zake kwasababu ni ombaomba hivyo kuogopa vitisho vya walanguzi kuwa watakata hundi ya misaada.
Sioni haja ya kuwa na nguo nzuri kwenye begi bila kuvyaa, sasa ulinunua au umetengeneza ya nini?
Asante sana ndugu Navaaya Ole Ndaskoi kwa uchambuzi wako wa kina juu ya barabara ya Mto wa mbu - loliondo - musoma na haki za rasilimali za nchi yetu, kwa kweli inashangaza kuona hata watanzania wenzetu labda kwa kudanganywa au kwa kwasababu wamekuwa wakifanya tafiti zinazo wafaididsha wao ili nao waitwe "world scientist"kama SW wanavyo waita au kwa malengo gani! Katika hao watano ambao ni waafrika atleast nawafahamu wanne, Dr Jambia wa chuo kikuu cha Dar es Salaam kitengo cha Jiografia ni mwalinu wangu na ambaye kwa miaka yote mitatu niliyokaa chuo nilimuona kama busy person and sometimes haingii darasani labda kwasababu ya issue nyingi alizo nazo but akingia darasani he used to be a nice teacher.
ReplyDeletesinatatizo na kazi yake ila napata pia mshutoko mwalimu wangu wa environmental education anapoargue na kushirikiana na wenzake kama "world scientist" katika journal iliyochapishwa wanapobase kwa upande wa wanyama tu na kusahau kuwa kabala ya serengeti kuitwa hivyo ilikuwa inaitwa sirinket na walio sema hivyo ni binadamu hivyo serengeti na uzuri wake usingekuwepo kama waliotutangulia yaani jamii zilizoishi pale kabla ya Prof wa Ujerumani Gtzimek or kabla ya 1958 waliishi na kutegemeana na viumbe vilivyopo.
Kuhusu barabara ya mto wa mbu - ngaresero - loliondo - musoma ni haki ya watanzania kupata huduma za barabara kwani tangu 1958 jamii zilizo toa serengeti (Waikoma, Kurya, wamasai etc)wanastaili nao kuingia katika muungano wa jamhuri ya tanzania, kama kweli Tanzania ni nchi huru basi either itumie ubabe kama nchi (nyerere alipotangaza vita vya Uganada alisema ........uwezo tunao, sababu tunazo za kuweza kupiga Idi Amini) basi kama Kikwete na serikali yake inaweza na sababu inayo ya kujenga barabara basi wasitishike na wimbi la walanguzi wanaotoka/ wanoandika kwa niaba ya amerika, uingerza na popote pale duniani juu ya barabara hiyo.
Sababu zinazo tolewa juu ya kwanini barabara isijengwe zote zinahusu wanayama. Je kwanini hawa walanguzi wasitoe pia sababu za kibinadamu? Wanafikiri wanawapenda wanyama zaidi yetu amabo tumekuwa tukiishie nao miaka na miaka?
Wanasayansi wametoa sababu kwani wasingewauliza wananchi wa loliondo, Ikoma, Mara/Musoma kama wanataka Barabara?
Nafikiri Tanzania ni nchi huru, basi kama ni huru na imeona tusitimize miaka 50 ya uhuru bila wananchi tuliowanyanyasa (serikali ikishirikiana na deep ecologist i.e frunkfurt zoological society etc) bila kuwa na mawasiliano na wengine then itumie katiba na mamlaka kama nchi kujenga barabara hiyo.
Wasiwasi wangu ni kuwa serikali yetu inaweza kurudisha kucha zake kwasababu ni ombaomba hivyo kuogopa vitisho vya walanguzi kuwa watakata hundi ya misaada.
Sioni haja ya kuwa na nguo nzuri kwenye begi bila kuvyaa, sasa ulinunua au umetengeneza ya nini?
We need the road
Valentin Olyang'iri